Home > Terms > Swahili (SW) > Siku ya Ufufuo

Siku ya Ufufuo

Tamasha ya wakati ufufuo wa Yesu hukumbukwa na kusherehekewa. Wakristo wanaamini kuwa Yesu alifufuka kutoka kwa wafu siku ya tatu baada ya kusulubiwa.

Jumapili ya Pasaka haijawekwa kwa kalenda ya kiraia (yaani ni sikukuu yakusongeshwa), na huwa baadhi ya kati ya Machi 21 na Aprili 25 (au kutoka mwanzo wa Aprili hadi mwanzo wa mwezi Mei katika Ukristo Mashariki).

0
  • Part of Speech: noun
  • Synonym(s):
  • Blossary:
  • Industry/Domain: Festivals
  • Category: Easter
  • Company:
  • Product:
  • Acronym-Abbreviation:
Collect to Blossary

Member comments

You have to log in to post to discussions.

Terms in the News

Featured Terms

edithrono
  • 0

    Terms

  • 0

    Blossaries

  • 1

    Followers

Industry/Domain: Festivals Category: Christmas

malaika

Wajumbe wa Mungu ambao walijionyesha kwa Wachungaji wakitangaza kuzaliwa kwa Yesu.