Home > Terms > Swahili (SW) > Idara ya Elimu

Idara ya Elimu

Mojawapo ya Idara za Baraza la Mawaziri iliyoanzishwa mnamo mwaka 1979. Idara hii husimamia na kuratibu maswala ya fedha kwenye elimu na hulenga kuhakikisha kuwa watoto wote wa marekani wanapata elimu. Vile vile Idara ya Elimu hukuza mafanikio zaidi kwenye elimu kupitia mipango maalum. MIongoni mwa afisi zilizoko chini ya Idara ya Elimu ni: Afisi ya Elimu ya Msingi na ya Upili, Afisi ya Elimu ya Elimu zaidi ya Shule ya Upili na Afisi ya Elimu ya Lugha Mbili na Maswala ya Lugha zilizo chache.

0
Collect to Blossary

Member comments

You have to log in to post to discussions.

Terms in the News

Featured Terms

Ann Njagi
  • 0

    Terms

  • 0

    Blossaries

  • 12

    Followers

Industry/Domain: Internet Category: Network services

Net neutralitet

sheria uliopitishwa hivi karibuni na FCC, baki Net inahitaji watoa mtandao broadband kuwa detached kabisa na taarifa kwamba ni alimtuma juu ya ...